nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
[emoji121]Miezi michache iliyopita niliwahi kuomba ushauri juu ya binti niliyempa mimba.
Nilizingatia ushauri w kwenda kuonana na binti na hatimaye kumwona mtoto. Mtoto kanifanana kidogo hasa paji la uso ila kamfanana copy right bibi mzaa baba na wadogo zang wa mwisho.
Nimeanza kuhudumia nina miezi kadhaa sasa, ila tatizo nagombana na huyu mzazi mwenzangu sana maana alitaka tuishi naye kitu ambacho nilimkatalia katu.
Sasa ni fujo kila siku mpk najuta kuzaa bila utaratibu.
Mdada niliyepanga kumuoa nilighalilisha hatua za mwisho maana tulishindwana nani amfuate mwenzie kweny dini yake, tukaendelea kuwasiliana ila mwisho nikamdanganya kama nimetafutiwa mdada wa kuoa na wazazi wkt sio kweli.siku mbili zilizopita amelazwa hospital katoka Leo asubuhi.
Mwisho , baada ya kufanya maandalizi ya kumuoa dada mwingine wa dhehebu langu, vimetokea vikwazo vikubwa mzazi wa binti huyu Mpya anapenda mahali kubwa sana about 4mlns nami nilipanga kutoa 2 to 3 mlns kw ajili ya kuwashukiru wazazi.
Sasa nimechanganyikiwa sijui cha kufanya , natamani sana kuoa ila ndo ivo mikasa haishi kbs mpk nawaza nifanye Biashara nipige chini hbr za ndoa.
Note: mweny mtt kamwe siwezi muoa KBS, huwa tunagombana sana mpk ananitusi ya nguoni so sihitaji aje nipa pressure.
Nimejifunza pia kuoa ni stage kubwa sana.
Wasalaaaaaaaaaaam
Ni jeuri sana ndugu, tumeharibiana.huwezi muoa mtu kwa huruma za mtotoSasa huyo ambaye hutaki kumwoa amwoe nani wakati umeshamharibia
huyo biti alitoa mahari kwa ajili ya shukrani kwa wazazi wako?Miezi michache iliyopita niliwahi kuomba ushauri juu ya binti niliyempa mimba.
Nilizingatia ushauri w kwenda kuonana na binti na hatimaye kumwona mtoto. Mtoto kanifanana kidogo hasa paji la uso ila kamfanana copy right bibi mzaa baba na wadogo zang wa mwisho.
Nimeanza kuhudumia nina miezi kadhaa sasa, ila tatizo nagombana na huyu mzazi mwenzangu sana maana alitaka tuishi naye kitu ambacho nilimkatalia katu.
Sasa ni fujo kila siku mpk najuta kuzaa bila utaratibu.
Mdada niliyepanga kumuoa nilighalilisha hatua za mwisho maana tulishindwana nani amfuate mwenzie kweny dini yake, tukaendelea kuwasiliana ila mwisho nikamdanganya kama nimetafutiwa mdada wa kuoa na wazazi wkt sio kweli.siku mbili zilizopita amelazwa hospital katoka Leo asubuhi.
Mwisho , baada ya kufanya maandalizi ya kumuoa dada mwingine wa dhehebu langu, vimetokea vikwazo vikubwa mzazi wa binti huyu Mpya anapenda mahali kubwa sana about 4mlns nami nilipanga kutoa 2 to 3 mlns kw ajili ya kuwashukiru wazazi.
Sasa nimechanganyikiwa sijui cha kufanya , natamani sana kuoa ila ndo ivo mikasa haishi kbs mpk nawaza nifanye Biashara nipige chini hbr za ndoa.
Note: mweny mtt kamwe siwezi muoa KBS, huwa tunagombana sana mpk ananitusi ya nguoni so sihitaji aje nipa pressure.
Nimejifunza pia kuoa ni stage kubwa sana.
Wasalaaaaaaaaaaam
Sasa huyo ambaye hutaki kumwoa amwoe nani wakati umeshamharibia