Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Ndio mkuu kwenye shughuli za Ufundi simu SIKUSHAURI kutumia window 11 na kuhusu kuzngua kwa baadhi ya software ni kwa7b software husika hazijatolewa/update latest version ya Window 11 kwaio nying znapata ugumu kufanya kazi kwenye W11 na kuhusu Edge microsoft walitaka kuisitisha kabsa isiwe browser cjui waliishia wila mimi kwangu nimeshughulikia now naona baadhi ya crack zimeanza kufanya kazi vizuri. Kama kutakua na tatizo nitaendelea leta mrejesho
Mkuu umepataje kuweka app za androidWakuu habar za masiku majuzi nilikuja hapa jukwaani na njuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Baati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikua napenda kushare nanyi kasoro kadhaa nilizoziona.
Kama wew pc yako unatumia kwa ajili ya shughuli za ufundi simu kama mimi unaweza pata changamoto kwa wale watumiaji wa crack mimi natumia miracle crack version 2.82 kweny upande wa kupiga file haimalizi miracle itajifunga yenyewe. pia ukitumia aladin ukiwa unataka kuweka file inajifunga yenyewe.
Kingine Web browser ya Edge hutoweza kuperuzi ishu nyingine tofauti na za microsoft hata kudownload. Ndizo kasoro nimneona mpaka sasa mambo mengine yapo vizuri na upande wa update na pata update mpy kama kawaida pia kingine kizuri ni app za android natumia kama kawaida kwenye whatsapp napata video call nimeweza kudownload instagram na twitter
Natumia facebook instagram na whatsapp pamoja na twitter tena whatsapp napata hadi video call natumia window 11 toleo la build 22454mkuu umepataje kuweka app za android
natumia facebook instagram na whatsapp pamoja na twitter tena whatsapp napata hadi video call natumia window 11 toleo la build 22454
Kwani kuna kizuizi gani wameweka mkuu?Windows inapoelekea inataka kuwa kama apple vizuizi vingi visivyokuwa na maana.
mimi nitabaki in the past na windows 10.
Ni mpya labda mbeleni huko chocho zitakua nyingiWindows inapoelekea inataka kuwa kama apple vizuizi vingi visivyokuwa na maana.
mimi nitabaki in the past na windows 10.