PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 974
Habari wakuu,
Nimewahi kujitekeza humu jamvimi nikiomba msaada wa dawa ya tatizo ambalo limenisumbua kwa muda mrefu sana la GERD.
Tatizo hili nimekuwa nikitibiwa kwa muda mrefu nilianzia hospitali ya peramiho, muhimbili na baadae regency medical centre ambapo daktari wangu ni Dr SWAI huyu binafsi ameshanifanyia kipimo cha endoscopy mara tatu, huku akinipatia dawa mbalimbali lakini sikuweza kupata ahueni.
Kwa bahati mzuri kaka yangu akanitafutia mtaalaam wa miti shamba ambapo baada ya kuanza kuitumia hyo dawa baada ya wiki moja tu nilianza kuona mabadiliko, na kwa kweli hivi sasa nakaribia kupona kwani nina uwezo wa kushinda na njaa hadi saa kumi jioni nisisikie maumivu hata chembe.
Kwa kuwa ugonjwa huu unatesa sana na maumivu yake nayafahamu nikasema kizuri kula na mwenzio.
Kama una tatizo hilo please pm nikusaidie, please for only serious people ambao wapo kwenye mateso kama hujui maumivu ya ugonjwa huu pita mbali.