Mrejesho wa Shukrani !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Je?
Umewahi kuwashukuru watu kwa mambo madogomadogo wayafanyayo kwako?

Nathubutu kusema asiye shukuru watu , hata Mungu hatomshukuru! Inshot asiye shukuru ni Mshenzi .

Hebu fikiri watu wasikupigie simu! Ukiwapigia wasikupokee!
Sms zako wasikujibu! Hiyo simu yako itakua na maana kua nayo?
Ukiumwa/pata hasara usiambue pole!
Ukitoa Thread isichangiwe!

Pale mtu akwambiapo "eebwana hembu toka hapo juani njoo hapa kivulini" usimwambie asante?
Wewe mshenzi !

Fahamu hayo machache tutendewayo yafaa kushukuriwa.

Mimi leo naanza kukushukuru wewe ulietia maguu ktk huu Uzi wangu huu.

Ahsante sana kwa kila comment yako uliyokontribyuti kwenye Nyuzi zangu , nimezipenda.
Zimenionya , zimenifunda , zimenifariji , moral support in general.

Aidha wadau wote wa Chtcht kwa niaba ya Mke wangu wa kipekee YNNAH nawambia asanteni .
 
Last edited by a moderator:
Makubwa jamani!!!
Haya ahsante na wewe
 
kiwatengu , Lady doctor , amu
hicho ndiyo kiungwana!
Ni wazi hamna silka na sifa ya kuitwa washenzi by the way!
 
Last edited by a moderator:
Mtu kama mfukoni hamna hela utamjua tu najua umevurugwa. pole.
 

hahahaaa!!shemejiiiiiiiiiii
umenionea wapi Jiwelinaloishi aiseee!!
 
Last edited by a moderator:
Mtu kama mfukoni hamna hela utamjua tu najua umevurugwa. pole.

Yaani whaaat!
Jg anaweza akavurugwa?
Aslan haitotokea! Kwani wewe Mamndenyi nilivyokwisha kuvuruga mie , unadhani namie navurugwaga? Mi sivurugwagi by the way!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo na mimi nijibu vipi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…