mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Baada ya mwenzi mmoja nenda kapime Ukimwi.Habari
Jana nilileta uzi wa yule binti niliyesafiri nae kwenda mwanza nikamtongoza ndani ya gari akakubali.
Nashkuru kwa ushauri wenu, nilifanikiwa kumgegeda vilivyo. Pamoja na kwamba tulichoka kutokana na Safari ndefu... lakini kazi ilikuwa nzuri. (Tulilala IGUNGA - mkoani TABORA)
Mafanikio niloyapata.
1. Binti nimempiga game ya maana hivyo nime jipatia CV nzuri ambayo sikuitegema.
2. Ameshukuru Sana kwa kumfikisha alipokuwa anakusudia (kileleni) kwani mda mrefu hajagegedwa (geti Kali)
3. Kumbe ni mtoto wa kishua. Sijatoa pesa yoyote. Kila kitu alilipia yeye
Changamoto zilizojitokeza
1. Tumetokea kulala sana hatimaye kuachwa na gari. Lakini tukapata gari nyingine na nimeshafika MWANZA
2. nimechoka balaa
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Hawachi acha kumtisha me banaaaaBaada ya mwenzi mmoja nenda kapime Ukimwi.
Nimeamini kwamba Msafiri kafili, siku moja tu una mtongoza mna kwichi kwichi Aiseeeee.@Hawachi acha kumtisha me banaaaa
Yeye anakuambia ameongeza cv halafu we unataka umpe stress badala ya pongezi we vipi banaaaaaaaa
Hapa ni mwendo wa kumsifia tu kidume kimefanya kazi iliyotukuka kama mzee map undamaged yaani na bahati yake mkuu akipata habari zake lazima ampe zawadi halafu anapewa na offer ya kupanda basi bure zinazopitia igunga.
Pokea pongezi zangu za dhati kijana maana umetuthibitishia kwa vitendo kua maendeleo hayana chama.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
🤣🤣🤣🤣Mkuu sijamtishaa bana.@Hawachi acha kumtisha me banaaaa
Yeye anakuambia ameongeza cv halafu we unataka umpe stress badala ya pongezi we vipi banaaaaaaaa
Hapa ni mwendo wa kumsifia tu kidume kimefanya kazi iliyotukuka kama mzee map undamaged yaani na bahati yake mkuu akipata habari zake lazima ampe zawadi halafu anapewa na offer ya kupanda basi bure zinazopitia igunga.
Pokea pongezi zangu za dhati kijana maana umetuthibitishia kwa vitendo kua maendeleo hayana chama.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Weee acha tu dada yanguNimeamini kwamba Msafiri kafili, siku moja tu una mtongoza mna kwichi kwichi Aiseeeee.
Nakukumbusha zama zimebadilia sio kila homa ni malaria.Wazee was kazi tunatembeaga na vipimo. Pamoja na yote hayo zana zinatumika vilivyo.
Afya yako ndo ajira yako mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpo wengi kumbe hahahaWeee acha tu dada yangu
Hata mi ilishanitokea hio kwenye safari ya dar- mwanza ndani ya dar lux nmekaa na mtoto mkali alikua anaenda chuo saut, mwanzo wa safari baada ya salamu kila mtu alikua anajifanya bubu yupo bize na simu yake ila baada ya kuiacha Moro ooohhhh naomba niishie tu hapa nisiendelee.
Ila kwa kifupi mabinti wa siku hizi wamekua wepesi mno tena hawa walipo chuo ndio balaa kabisaaaa.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Usimcheke mamba Hawachi kabla haujavuka mtoMpo wengi kumbe hahaha
Haiwezekani kwa kweli ibilisi itabidi atumie akili ya ziada kweli kweli ninavyo ogopa ngwengwe, siku moja ni kwichi no, no..Usimcheke mamba Hawachi kabla haujavuka mto
Siku yakikukuta na wewe naomba usisahau kuleta ushuhuda hapa jamvini.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Oooohhh shauri yako labda kama sio mtu wa safari za mara kwa mara tena safari yenyewe iwe ndefu halafu unakaa siti moja na mkaka aliyetimia Vigezo vyote kama mimi yaani unajikuta tu kila mkitazamana unaanza kusikia unyevunyevu uvunguni kimoyomoyo unatamani hata umbake humohumo ndani ya gari.Haiwezekani kwa kweli ibilisi itabidi atumie akili ya ziada kweli kweli ninavyo ogopa ngwengwe, siku moja ni kwichi no, no..
umenichekesha Sawa umeshindaa.Oooohhh shauri yako labda kama sio mtu wa safari za mara kwa mara tena safari yenyewe iwe ndefu halafu unakaa siti moja na mkaka aliyetimia Vigezo vyote kama mimi yaani unajikuta tu kila mkitazamana unaanza kusikia unyevunyevu uvunguni kimoyomoyo unatamani hata umbake humohumo ndani ya gari.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk