Mrejesho wa kutafuta mchumba

Nmekosa mwenye sifa nizitakazo hlf kila mtu ana akili tofauti yawezekana mimi nilivutiwa kupata huku jf vipi una jingine ?
Sasa sifa utapataje huku we Dada?? Hata mtu kumjua kimaumbile humjui utakuja tapeliwaa!!!
 
Reactions: sab
yawezekana sikua serious ila reaction yake inatia hofu unajua kabisa ni tapeli utaendelea kutaka kutapeliwa? 🙂
Huyo atakae kupeleka nyumbani kwake kabla hamjazoeana atakua ndo tapeli halisi.
 
Pole sana, uvumulivu muhimu.
 
Guys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..

Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest alikuwa sahihi kabisa.. Huyu demu ntawatumia picha zake mmuone alivyo alafu mtaelewa nikwanini katika Story za mrejesho wake amaezinguliwa na wanume wote..

Wewe hujiulizi hapo inakuwaje wanaume wote waishie kumbania kufika kwao? Hivi kuna mwanaume anacha papuchi kirahisi hivyoo..!

Yaan hatamanishi hata kidogo kwanaza hajipendi, yuko rafu, kakomaa sura balaa.. Alichopewa na mungu ni uwezo wakujieleza tu.. Kifua bapa ziwa hajapewa.. Yaan ukichat naye ukapata hisia kuwa unachat na mwanamke aisee wewe utakuwa mwanaume ulietoka gerezani unaukame wa miaka 20.

Niko naya Maeneo mtaa mmoja ila hanijui sura.. Tuliishia kuchat alipotuma picha kumbe nindemu ninaye muona kila siku mtaani kwetu.. Nikaanza kumzingua.. Tena hapo katika list ya watunalio chat naye aliyoweka amaeruka vitu vingine vinginsana...

Anisamee kwa kuwa muwazi maana naona anaadaa watu kuwa yeye ni super sana.. Ila siyo kweli ni kijeba sana na akibisa nita weka picha zake mumuone alaffu wanaume mseme wenye kama kweli unaweza mkaribisha nyumbani kwako labda umlete usiku watu wakiwa wamelala na umtoe saa 11 asubuhi.
 
Duh!
 
Hahahaaaa!!!
Wanaume wa jf na maroroso yao.
 
Uandishi wako ni wa dume.. Ni wachache saana watagundua
I think.. Hili analo lifanya hapa ni kuwafedheesha wahusika.. Ajue pia hao wahusika wana sababu zao naowao wakiamua kukimwaga hapa kwenye kumkosoa alivyo itakuwa shida sana maana kama aliachana na mtu kwa uzuri bila kutukanana unavyo kuja kuanika hapa ina maana umedhamiria kuwadhalilisha
 
Haina haja mkuu
Yeye hajaleta picha ya mtu ameleta maneno tu.
Malizaneni kwa maneno
 
Aiseee.Maneno makali ndugu yangu.Hakuna demuuu mubayaaa ni matunzooo tu wajameniiii
 
Mwanamke ukikosa bwana hata wa kukukamua mtaani kwako we ndio mwenye matatizo tena makubwa!! Unakuja tafuta mchumba JF na unawatangaza juu aseee no wonder umekosa hata kiben10 cha kukuliwaza panya wewe!
Mara nyingi penda kupanda Mbegu ya Amani.Haya mambo hutokea kweli.Wala hajadanganya.
Humu Jf kuna watu wazuri.Wengine mpaka wachumba wazuri wapo.Na wengine wapita njia.
Trust me.Jf INA kila aina ya watu na mazingaombwe yapo
 
Nifuate mm pm uone kama nitakudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…