Hello Wana GT wa JF, Kwanza kabisa nawashukuruni Kwa ushauri wenu kuhusu hii TV aina ya Evvoli, Hasa ndugu Jiwe Angavu na Merengo 90 Kwa ushauri mzuri waliotoa ,Kwanza kabisa hii TV haipatikani Kilimanjaro Au Arusha mpaka Dar ndio Kuna Agent wa hii TV.Jana ndio nimeipata na ku install Kwa DSTV Kwa kweli iko powa kabisa,TV yenyewe Ni Inches 55"ASANTENI. Bei yake Ni 1.8milion mpaka ifike Kilimanjaro, asanteni sana ,
Mkuu yaani Najitahidi hata niingie You tube lakini imenishinda ,yaani pamoja na hiyo iko vizuri .Nahitaji keyboard na mouse ili niwe na type tu nikishajua kuingia you tube.