Mrejesho: Nina miaka 25 kila ninalofanya linaishia kufeli

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,402
Nilipost uzi miezi kadhaa iliopita, mrejesho ni huu, hadi sasa biashara nliosema nlibakiwa nayo, ilikufa fasta ndani ya siku moja, yani hata sikuweza kuiuza ili niifaidi hela.

Sasa solution iliobaki naona ni kwenda Kwa mganga nitoe kafara miaka yangu ya kuishi hapa duniani, ili nipate maisha mazuri, ni heri kuishi Kwa raha Kwa miaka 2 hlf nife, kuliko kuishi miaka 50 ya umaskini.

Kwa wale walokole mtakaosema yesu ni jibu, niwaambie hivi, mm nikimwomba Mungu, hanijibu maombi, sasa nife na njaa huku najiona, hapana aisee.
 
Wahi kaombewe kwa Mwamposya acha kuomba mwenyewe utakuwa unaomba kibwege bwege tu ndio.maana Mungu hajibu
 
Nilipost uzi miezi kadhaa iliopita, mrejesho ni huu, hadi sasa biashara nliosema nlibakiwa nayo, ilikufa fasta ndani ya siku moja, yani hata sikuweza kuiuza ili niifaidi hela.

Sasa solution iliobaki naona ni kwenda Kwa mganga nitoe kafara miaka yangu ya kuishi hapa duniani, ili nipate maisha mazuri, ni heri kuishi Kwa raha Kwa miaka 2 hlf nife, kuliko kuishi miaka 50 ya umaskini.

Kwa wale walokole mtakaosema yesu ni jibu, niwaambie hivi, mm nikimwomba Mungu, hanijibu maombi, sasa nife na njaa huku najiona, hapana aisee.
Huna akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 Nawasubir wale wa Yesu ni Jibu
Watiririke

Pole sana kwa kukwama kimaisha. Kwanza ya yote jua kwamba wapo wengi sana wenye matatizo makubwa kuliko wewe. Pili jua kwamba ufumbuzi upo.

Ukweli ni kwamba hapa duniani kama huna baraka za Mungu huwezi kufanikiwa kitu. Matatizo mengi ya watu yanatokana na wao wenyewe kufanya vibaya katika maisha yao kupitia "dhambi" na hivyo kufungua mlango wa shetani kuwaingilia na kuiba kila kizuri katika maisha yao. Ukiwa katika hali hii unaweza ukafanya kazi usiku na mchana lakini huoni mafanikio yoyote kwa maisha yako yote. Watu wengi ni misukule tu japo bado tunawaona kwa macho kila siku.

Kuna roho inaitwa CHUMA ULETE. Kwa kifupi tu hii ni roho ya wizi inayotumiwa na ulimwengu wa giza kuwaibiwa wale wote ambao wamefungua milango kwa shetani kwa namna yoyote ile. Unapaswa kufunga milango ili kuzuia roho hii.

Usijaribu hata kidogo kuuza roho yako kwa shetani kama ulivyosema, tena futa kabisa maneno hayo kwani hivi sasa shetani anafuatilia kuhakikisha kweli unamuuzia roho yako.

Kwa kuwa inaonekana una matatizo mazito unahitaji mtumishi wa kweli wa Mungu (Yesu Kristo) akusaidie kuvunja nguzu za giza zinazoshindana na wewe. Najua ni vigumu kumpata mtumishi wa kweli ndio maana nashindwa hata kukuagiza kwa mmoja. Pia sali ukiliitia JINA LA YESU KRISTO na kumwomba akutoe katika utumwa wa shetani na kukusaidia katika matatizo yako. NI LAZIMA uyataje matatizo yako kinagaubaga mbele za Yesu Kristo na umwombe kile unachotaka akusaidie. Yesu Kristo hashindwi jambo lolote mimi ni shuhuda. Ubarikiwe.
 
Hapo kwenye kuomba mungu nakuunga mkono...huku duniani bana hakuna cha mungu wala shetani ni kupambana tu na hali yako...kuhusu mganga kama unaamini atakusaidia haina noma mkuu..jaribu bahati yako,ushauri wangu ni mwanaume haishiwi mbio pambana mkuu acha kukata tamaa...tafuta hata vikazi vikazi kwenye maujenzi yaani kukubeba zegee.
 
Mungu amekupa majaribu ndugu yangu, na Mungu anapokupa majaribu haimaanishi km hakupendi la.. Vuta subra ndugu yangu kuna watu wana mali lkn hawana ulivyokuwa navyo ww.. Vuta subra hayo ni majaribu tuu na pia kipindi hiki shetani atakuvuta sana upande wake kufanya ovu hili na lile , Vuta subra na endelea kumuomba Mungu.

Subra na kumuomba Mungu ndo kila kitu ndugu yangu.
 
Yesu alisema "msiache kamwe kusali endeleeni kumuomba Yehova baba Yenu mambo mazuri. Kila mzazi hupenda kumpa mtoto wake vitu vizuri ikiwa mtoto wako ataomba mkate je utampa jiwe? Akiomba samaki je utampa nyoka"
Ndugu yangu jifunze kusali acha kunung'unika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa kukwama kimaisha. Kwanza ya yote jua kwamba wapo wengi sana wenye matatizo makubwa kuliko wewe. Pili jua kwamba ufumbuzi upo.

Ukweli ni kwamba hapa duniani kama huna baraka za Mungu huwezi kufanikiwa kitu. Matatizo mengi ya watu yanatokana na wao wenyewe kufanya vibaya katika maisha yao kupitia "dhambi" na hivyo kufungua mlango wa shetani kuwaingilia na kuiba kila kizuri katika maisha yao. Ukiwa katika hali hii unaweza ukafanya kazi usiku na mchana lakini huoni mafanikio yoyote kwa maisha yako yote. Watu wengi ni misukule tu japo bado tunawaona kwa macho kila siku.

Kuna roho inaitwa CHUMA ULETE. Kwa kifupi tu hii ni roho ya wizi inayotumiwa na ulimwengu wa giza kuwaibiwa wale wote ambao wamefungua milango kwa shetani kwa namna yoyote ile. Unapaswa kufunga milango ili kuzuia roho hii.

Usijaribu hata kidogo kuuza roho yako kwa shetani kama ulivyosema, tena futa kabisa maneno hayo kwani hivi sasa shetani anafuatilia kuhakikisha kweli unamuuzia roho yako.

Kwa kuwa inaonekana una matatizo mazito unahitaji mtumishi wa kweli wa Mungu (Yesu Kristo) akusaidie kuvunja nguzu za giza zinazoshindana na wewe. Najua ni vigumu kumpata mtumishi wa kweli ndio maana nashindwa hata kukuagiza kwa mmoja. Pia sali ukiliitia JINA LA YESU KRISTO na kumwomba akutoe katika utumwa wa shetani na kukusaidia katika matatizo yako. NI LAZIMA uyataje matatizo yako kinagaubaga mbele za Yesu Kristo na umwombe kile unachotaka akusaidie. Yesu Kristo hashindwi jambo lolote mimi ni shuhuda. Ubarikiwe.
Pole sana kwa kukwama kimaisha. Kwanza ya yote jua kwamba wapo wengi sana wenye matatizo makubwa kuliko wewe. Pili jua kwamba ufumbuzi upo.

Ukweli ni kwamba hapa duniani kama huna baraka za Mungu huwezi kufanikiwa kitu. Matatizo mengi ya watu yanatokana na wao wenyewe kufanya vibaya katika maisha yao kupitia "dhambi" na hivyo kufungua mlango wa shetani kuwaingilia na kuiba kila kizuri katika maisha yao. Ukiwa katika hali hii unaweza ukafanya kazi usiku na mchana lakini huoni mafanikio yoyote kwa maisha yako yote. Watu wengi ni misukule tu japo bado tunawaona kwa macho kila siku.

Kuna roho inaitwa CHUMA ULETE. Kwa kifupi tu hii ni roho ya wizi inayotumiwa na ulimwengu wa giza kuwaibiwa wale wote ambao wamefungua milango kwa shetani kwa namna yoyote ile. Unapaswa kufunga milango ili kuzuia roho hii.

Usijaribu hata kidogo kuuza roho yako kwa shetani kama ulivyosema, tena futa kabisa maneno hayo kwani hivi sasa shetani anafuatilia kuhakikisha kweli unamuuzia roho yako.

Kwa kuwa inaonekana una matatizo mazito unahitaji mtumishi wa kweli wa Mungu (Yesu Kristo) akusaidie kuvunja nguzu za giza zinazoshindana na wewe. Najua ni vigumu kumpata mtumishi wa kweli ndio maana nashindwa hata kukuagiza kwa mmoja. Pia sali ukiliitia JINA LA YESU KRISTO na kumwomba akutoe katika utumwa wa shetani na kukusaidia katika matatizo yako. NI LAZIMA uyataje matatizo yako kinagaubaga mbele za Yesu Kristo na umwombe kile unachotaka akusaidie. Yesu Kristo hashindwi jambo lolote mimi ni shuhuda. Ubarikiwe.
Mungu anajibu lakini haridhishi katika majibu yake mi ni shuhuda!!kumtegemea mungu ni kujipa matumaini tu lakini kiuhalisia ni maumivu yasiyo koma!!Nguvu ya mafanikio kwenye dunia hii ni ya shetani kuliko mungu!!!!Wa mungu wanalia tu washetani wana furaha!!!nimekaa kwenye kumtegemea mungu hadi sasa lakini ukimuomba mungu dhahabu anakupa jiwe tena kwa taabu kweli kweli!!!
 
acha kukariri wewe ata shetani anatoa utajiri
 
Pole sana kwa unayoyapotia... Ila kwa miaka 25 kukata tamaa mbona mapema sana, jikaze uendelee kupambana

Pia jifunze kuwa na shukrani hata kwa hyo pumzi na afya njema, kuna watu wapo hospital saiv wanapigania maisha yao wamekosa matumaini ya kuishi kwa mateso wanayopitia. Wewe una nguvu had ya kufanya biashara bado unalalamika!
 
Mungu anajibu lakini haridhishi katika majibu yake mi ni shuhuda!!kumtegemea mungu ni kujipa matumaini tu lakini kiuhalisia ni maumivu yasiyo koma!!Nguvu ya mafanikio kwenye dunia hii ni ya shetani kuliko mungu!!!!Wa mungu wanalia tu washetani wana furaha!!!nimekaa kwenye kumtegemea mungu hadi sasa lakini ukimuomba mungu dhahabu anakupa jiwe tena kwa taabu kweli kweli!!!
Nina uhakika 100% utakuja jutia maneno yako.
 
Back
Top Bottom