moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
wakuu habari za muda huu!!
kama tulivyo binadamu ukishazaliwa kuugua ni sehemu ya maisha! na mimi nimekuwa nikijitokeza ndani ya jukwaa hili mara kadha wa kadha kupata ushauri juu ya afya yangu!!
ukirejea badhi ya post zangu za awali niliomba ufafanuzi wa ugonjwa niliokuwa siujuwi, nikapata mwongozo mujaarabu, niliomba tena msaada wa hospitali ipi nzuri Dar, nilielekezwa vizuri nikafika Kwa Kairuki Mikocheni.
Bila kuwa chosha wakuu nilikutana na Dr Mpelumbe ambaye baada ya kunifanyia kipimo cha DVU ( Direct Vision Urethrology) nilipatikana na Prostate inflammation ambayo ni Chronic Prostatis.
Nb: najua humu kuna wataalamu wengi wenyewe uwezo wa kunishauri ni jinsi gani naweza kuishi na hii hali mpya, nini nifanye, nini nisifanye na ABC's zote za ugonjwa !!
And if I am fated to die soon, let me know, that will help to sum up what I am doing to win immotality.
Wasalaam.