Mrejesho: Mpenzi nimempata

AUTOCATALYST

Member
Joined
May 27, 2015
Posts
69
Reaction score
17
Habarini wakuu, I trust you are all okay!

Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.

Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock (calls, fb, wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.

Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
 
Mwanaume akipenda hana tofauti na teja,lolote atafanya.

Kajirudisha na haujamuuliza sababu ya matendo yake yaliyosababisha akublock. Unafuga matatizo ndugu
Basi ni-PM labda nitapata suluhisho
 
atakuwa kafuata kitu huyo wala hana shida na wewe. mkuu kuwa makini ktk hilo
 
Mkapime kwanza uwezijua labda kaja name ngwengwe au mimba uyo usijione mjanja uku yy anakuona boya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…