Mrejesho kutoka NSSF

Katika mashirika ilibidi yaangaliwe upya na kuwekeza kwenye tehama ni Nssf.

Wafanyakazi wanapata tabu Sana na haya mashirika jinsi yanavyotenda kazi zake kwa paperwork, red tape, uvivu na kila baya.

Anayejua kosa la mfanyakazi anapotaka kuchukua mafao yake ateseke atueleze Mana haiingii akilini Hawa watu kusumbua wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhy process hapo zinakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…