binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Kweli naamini kuna wanaume hawabadiliki.
Jamaa nimemshauri punguza pombe akakubali kumbe aliitikia kishingo upande bado amerudia tena kunywa pombe marafiki zake walikuja akawatoa out bar kwa gharama yake wakanywa washkaji wakaondoka jamaa anadai hajatosheka pombe?
Namuuliza ulizaliwa ukiwa unajua kunywa pombe akanijibu hapana ukicheki bill iliyokuja ya vinywaji si chini ya laki washkaji walitaka kuchangia hiyo bill akawaambia mkiwa na mimi msilipe nitalipa mimi ukiangalia ndo kwanza kaja Dar kutafuta ndo anaanza kufungua fremu ya biashara hata hajaweka vitu matumizi yanazidi kuwa makubwa kwenye ulevi.
Suala la mawasiliano kwake halipo akujulie hali asikujulie hilo hana habari nalo.Nimemshauri sana ili kumwokoa habadiliki nimeamua kumwacha.
"Hakuna mwanaume mwenye hofu ya Mungu zaidi ya Yesu mwenyewe usemi huu nabii mmoja aliniambia wakati nikiwa kanisani "