Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Much appreciations kwa brother Ontario na ndugu wengine wote akiwemo AMLIGHT kwa kutuenlight sisi ndugu zenu Watanzania tuliokuwa hatuna mwanga juu ya Forex trading. Leo few of us tunasurvive nje ya mishahara yetu na tunaziua liabilities kibao na kuproject assets mbele yetu through forex.
Waache wanaoamini Forex ni pesa za kudownload wandelee kusuffer katika hilo kwa maana Forex sio biashara ya kila mtu.
Am proud now i achieve alot through trading.
Amani ya mwenyezi Mungu iwe pamoja nanyi na mbarikiwe saana Ndugu zangu.
 
Hongera mkuu waache wanaoamini forex ni ujanja ujanja waendelee kuamini hivyo wakija kushtuka kumeshakucha
 
Click hii link hapo chini kwa ajili ya kuexchange views and ideas juu ya Cryptocurrency issue kwenye group letu la WhatsApp..Bitcoin and all altcoins will be highly discussed.

Njooni tujadili kinaubaga juu ya taaluma hii adhimu ya Cryptocurrency. Bonyeza lonk hii hapa kufiia kilingeni. Forex /blockchain EA:
 

HAPA KWANGU NO ONTARIO WALA CHA MENTOR MAMBO SAFI KAMA KAWAIDA



 
i real like to belive you but that tradeding station it might be a demo and you can show us edited version. the only way to know buy bank statment when the person tranfers his money the we can say yes i did it and make money.
 
i real like to belive you but that tradeding station it might be a demo and you can show us edited version. the only way to know buy bank statment when the person tranfers his money the we can say yes i did it and make money.
Hivi kunawatu bado hawaamini okay itakua demo tukubaliane hivyo
 
Vipi bado mnaendelea vizuri na huyu ONTARIO????
au ndo tayari mshaisoma namba?? Maana naona kimyaaa sanaaaa.
Hahahahahaha..
 
FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.


[TERMS AND CONDITIONS LINKED]


Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....


Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.


(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)


ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.



HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:


Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus


2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

Menu > MyTemplerFX> Verifications


3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok


4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:


NDB30JN42017


Then submit.


5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.


6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:


https://play.google.com/store/apps/details?id=net.metaquotes.metatrader4


Start Trading!!

TRADE SAFELY!



Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox




Terms And Conditions hapa:


TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Hapa, ni hatari!
I hope I'll get to use this broker...

 
Mkuu huyu jamaa mbona kweny mt4 simuon? Uli msearch kwa jina gan? Nmeandika cifx simpati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…