Mrejesho: Graduates with knowledge in IP/Networking wanahitajika

Lingine swala sio la kuibiwa tu, ninapofanya maombi ya kazi huwa natumia akili na muda. Hizi ni resources ambazo ningeweza kuzitumia kwenye maswala mengine.

Mwisho usikariri kila anayeomba kazi hana kazi. Msalimie Mcharo.
 
Hapa umedai ulishaitwa kwenye interview.

Hapa unakataa huhusiani na hiyo kazi. Mbona hueleweki. Huyo rafiki yako ni muongo kama wewe. Tena nadhani huyo rafiki umemtengeneza sasa hivi kujitetea.
I stand on behalf of my friend ni kazi za kwel amini usiamin that is upon u bro ila this thing is true
 
Lingine swala sio la kuibiwa tu, ninapofanya maombi ya kazi huwa natumia akili na muda. Hizi ni resources ambazo ningeweza kuzitumia kwenye maswala mengine.

Mwisho usikariri kila anayeomba kazi hana kazi. Msalimie Mcharo.
Kumbe una kazi ndo maana unawavuruga wenzio psychological ili wasi apply? Duh it's not fear
 
padre una mbwembwe wewe nadhani masister wanakukoma
 
Mcharo umemuona Biobenga, hujamuona pettymarcel aliyetaka kutuaminisha amefanya interview. Wewe unadai interview bado.

Mkuu nimesoma post yako iliyofanya upigwe ban, inasikitisha. Kwenye hili swala la kazi umekua makini kuandika vitu vya msingi lakini posts zako nyingine hazifai.

Jf hatufahamiani, tunakujudge kutokana posts zako, kwa hilo ujirekebishe mkuu.

Kuhusu kazi tuombe uzima, ukweli utajulikana tu.
 
Wewe ndo usiwaponze wenzio hizo kazi ni za kwel na dedlne ilishapita kitambo kuna uzi mwingine wa shortlisted aliuweka humu akatoa ushauri pia kuhusu makosa mengi wanaofanya wa Tz wakati wa kutuma maombi
Tunaomba kujua ofisi ziko wapi
 
Padri mcharo vipii??mbona kimya mkuu[emoji26]
Mkuu bado unamsubiri mcharo, nakushauri fanya mambo yako mengine.

Ningekua na nafasi ningeenda hapo masaki, Mcharo anapodai kuna ofisi zao lakini huo muda wa kupoteza sina.

Ninachojiuliza Mcharo ananufaika vipi na huu mchezo anaofanya; inaweza kuwa kuna information alikua anahitaji kwenye hizo applications au anatafuta kiki jf. Kwa kifupi ni mtu hatari anayependa kucheza na akili za watu.

Mcharo alidai alikwenda South Africa kwenye training, baada ya siku nne kasema yupo chalinze, akadai shortlisting mpka trainers warudi Dar wako S.A, sasa yeye alienda kufanya nini huko? Ina maana aliattend training ambayo hajui inaisha lini. Haiwezekani apewe jukumu la kurecruit watu halafu apewe information nusu nusu.

Baada ya muda akaja na sababu nyingne kuwa swala la kuita watu lipo nje ya uwezo wake, kalipeleka kwa senior management.

Wacha nimsubirie aje na stori yake nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…