Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
Ndio mpango uliopoMsijali lkn naskia mnaunganishwa na lami kutokea Buhongwa
Husakwa kwa uhujumu uchumi.!!? Maana wenzio wa barabara za mbugani uhujumu uchumi uliwahusuBaada ya posti yangu juzi kuhusu BARABARA hii, hatimaye Jana imekwanguliwa na kusawazishwa Yale makorongo.
Heko kwa wateule wa Rais wetu mpendwa.
Sasa ..
Mh Rais wetu mpendwa ikikupendeza kipande hicho Cha BARABARA kijengwe kwa kiwango Cha Moramu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi zipo poaHeko ya nini? Mpaka watu walalamike? Mwanza Nyamagana barabara za Tarura ni kama njia za ngombe. Yani mnakaa miaka 5 bila barabara kupitishiwa greda. Awamu zilizopita ilikuwa hata kwa mwaka mara mbili greda linapita barabara zinakwanguliwa. Sasa hivi mpaka uchaguzi ukaribie.
Sent using Jamii Forums mobile app