Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali
Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa
Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman
Ahsanten sana
Sent using Jamii Forums mobile app
basi sawa ukitaka kuachana na huyo uje tena humu tukupe ushauriSasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali
Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa
Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman
Ahsanten sana
Sent using Jamii Forums mobile app
picha tena
Karibu tena na tena Mkuu,
Hongera kwa hatua kubwa uliyo pigaa,
Ni hatua inayohitaji ujasiri.....
Heri ya Mwaka Mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app
HONGERA MKUU. MUNGU AWATANGULIE KWENYE MAISHA MATAKATIFU YA NDOASasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali
Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa
Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman
Ahsanten sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nilimpata kanisan mkuuMirejesho ya namna hii inajenga, Hongera sana mkuu,
Hivi ulimpata humu humu au nje ya JF?
Sent using Jamii Forums mobile app