Mradi wa ujenzi wa reli bado upo?

bbc

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
3,836
4,146
Niliwahi kusoma magazetini siku za nyuma kuhusu ujenzi wa njia ya treni (reli) ya chini kwa chini Stesheni (karibu na central police- Dar) mpaka uwanja wa ndege wa JNIA ili kuwahi airport. Kwa anayejua, hivi huu mradi upo kweli?
 
Back
Top Bottom