Mlimani city ndio mradi pekee wa ubia Kati ya Taasisi ya Serekali Na Sekta binafsi ambao mpaka leo unazidi kustawi! Kumekuwepo Na tuhuma za ufisadi lakini kamwe hazijawahi kuthibitishwa hivyo zinabakia kuwa ni udaku tu! Mbali Na mlimani city pia kuna uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya Total Energy pembeni ya mlimani city. Miradi yote hii inaleta hela nyingi sana kwa chuo na ajira kwa watanzania. Je ni wakati sasa kwa vyuo vingine nchini vyenye hali ngumu kifedha ku lease maeneo Yao Kwa sekta binafsi Kwa ubia Na kujipatia fedha za ziada?
Nakumbuka Rais aliyepita kipindi anatoa kauli ya kujengwa hostel mpya alisisitiza kuwa hosteli zijengwe hapa hapa (main campus) maana haiwezekani mnatoa maeneo kwa mikataba ya hovyo huku wanafunzi mnawapeleka mbali