USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
MRADI WA MAJI NYAKAHURA TANK LA MAJI LITA 400,000.
Juu kushoto ni katibu wa CCM wilaya ya biharamulo Comrade Adam Soud na kamati yake wakiwa juu ya tank la maji nyakahura wakikagua mradi huo kuangalia jinsi ilani ya CCM 2010-2025 ilivyotekezwa ndani ya wilaya ya biharamulo chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa kwa kishindo.
Miaka ya nyuma kabla Eng Ezra Chilewesa hajawa mbunge hapa nyakahura kulikuwa na siasa za maji ,miradi mikubwa inaandikwa lakini wapi ,maji yalileta taswira mbaya kwa wananchi dhidi ya serkali yao ,nyakahura ilikuwa kama jangwani licha ya kugungukwa na vyanzo vya maji ,
Kazi ya kubuni miradi hiyo kupambania wananchi wa nyakahura wapate maji imefanyika sana sana na tanki hili lina uwezo mkubwa wa kuhudumua wananyakahura shule ,polis,vituo vya afya na zahanati kwa kiwango cha kusaza.
Lita400000 sio mchezo na tank hili litapokea maji ya ziwa victoria siku chache zijazo nyakahura inasahu maumivu ya kukosa maji .
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
Copy and paste