CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 912
Ng'ombe kutoa Lita 2 Ni ufala na biashara kichaa.
Kaka kwanza hngra unaplan nzur Sana tatzo hapa utakatishwa tamaa na waswahil wa mijin! Cha kukuongezea hapo weka pia madume nunua waliokonda Ila wamechangamka ukiwafkisha unawachoma sindano y magonjwa meng nununua wa 230, 250, mwez wa 12 huwa Bei iko chin Kisha wakipendeza ita mnunuz pga zako super profit kisha Leta mrejesho!Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.
Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.
Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.
Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.
Mim nlinunua 20 last year natarj kuuza mwez wa saba baada y hapo nahamisha mrad songea vijjin nishike por la Bei nafuu niingize mifugo weng sanaKaka kwanza hngra unaplan nzur Sana tatzo hapa utakatishwa tamaa na waswahil wa mijin! Cha kukuongezea hapo weka pia madume nunua waliokonda Ila wamechangamka ukiwafkisha unawachoma sindano y magonjwa meng nununua wa 230, 250, mwez wa 12 huwa Bei iko chin Kisha wakipendeza ita mnunuz pga zako super profit kisha Leta mrejesho!
Kununua Ankole mitamba sio mchezo,nabado inategemea yuko wapi sababu Ankole huwezi waleta hii mikoa kamekameKwanza kwa hiyo bei 250,000.00 kwa Mtamba sina hakika nayo HEBU FANYA RESEARCH ZAIDI isijekuwa bei ya mbuzi [pia fanya utafiti kuna ng'ombe wa kisukuma wa pembe fupi halafu kuna ankole yupi bora?]
Mawazo yako nimazuri yafanyie kaziWakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.
Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.
Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.
Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.
Sio kwamb Hana akili, sema tumshaur afuge nkole idea yake ni nzurYani ngombe wa kienyeji kwa biashara ya maziwa uko na akili kweli?..
#MaendeleoHayanaChama
Hongera sana - wewe ni mjasiriamali mzuri. Labda nikushauri kidogo kwamba hujasema kuhusu Mtaji ulionao (Overhead costs) na naona kama umekuwa mno too ambitious na kuamini kwamba kila kitu ni ceteris paribus .kwa mfano Mnadani sio rahisi kupata mtamba mwenye mimba; Bei ya ng'ombe 250,000/= huyo ni ndama aliyechoka na sio mtamba Kwa mfano bei ya mtamba Kiteto minadani kwa tarehe 15/04/2022 ilikuwa laki tatu hadi laki tatu na nusu (i.e. Tzs 300.000/= - 350,000/=) halafu ng'ombe wa kienyeji hutoa 1.2 -1.5 Lts za maziwa kwa siku (ni wachache sana hufikia 2.0 - 2.5 ltrs kwa siku). Hujaweka Risks and Uncertainties e.g. Magonjwa, Kukosekana malisho au Uhaba wa malisho, vifo vya ndama n.k. n.k.Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.
Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.
Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.
Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.
Hongera sana - wewe ni mjasiriamali mzuri. Labda nikushauri kidogo kwamba hujasema kuhusu Mtaji ulionao (Overhead costs) na naona kama umekuwa mno too ambitious na kuamini kwamba kila kitu ni ceteris paribus .kwa mfano Mnadani sio rahisi kupata mtamba mwenye mimba; Bei ya ng'ombe 250,000/= huyo ni ndama aliyechoka na sio mtamba Kwa mfano bei ya mtamba Kiteto minadani kwa tarehe 15/04/2022 ilikuwa laki tatu hadi laki tatu na nusu (i.e. Tzs 300.000/= - 350,000/=) halafu ng'ombe wa kienyeji hutoa 1.2 -1.5 Lts za maziwa kwa siku (ni wachache sana hufikia 2.0 - 2.5 ltrs kwa siku). Hujaweka Risks and Uncertainties e.g. Magonjwa, Kukosekana malisho au Uhaba wa malisho, vifo vya ndama n.k. n.k.
Nakushauri wasiliana na Mtaalam wa mifugo wa Ugani (Livestock extension officer) aliye karibu na ww ili kuweka vizuri Mradi wako. Ni hayo tu. [emoji120]
Niamnini mkuu....mimi pia ni mdau wa minadani na uzoefu ninaoKwanza kwa hiyo bei 250,000.00 kwa Mtamba sina hakika nayo HEBU FANYA RESEARCH ZAIDI isijekuwa bei ya mbuzi [pia fanya utafiti kuna ng'ombe wa kisukuma wa pembe fupi halafu kuna ankole yupi bora?]
Mkuu linganisha na input ulizoweka..no pumna, mashudu na intensive management..lita 2 ni faida nzuri tuNg'ombe kutoa Lita 2 Ni ufala na biashara kichaa.
Asante Mkuu.. hii pia itauwa fursa nzuri na ninaifikiriaKaka kwanza hngra unaplan nzur Sana tatzo hapa utakatishwa tamaa na waswahil wa mijin! Cha kukuongezea hapo weka pia madume nunua waliokonda Ila wamechangamka ukiwafkisha unawachoma sindano y magonjwa meng nununua wa 230, 250, mwez wa 12 huwa Bei iko chin Kisha wakipendeza ita mnunuz pga zako super profit kisha Leta mrejesho!
Ankole huku nilipo hawafanyi vizuri, joto ni kali sana. Nanunua Zebu na TarimeKununua Ankole mitamba sio mchezo,nabado inategemea yuko wapi sababu Ankole huwezi waleta hii mikoa kamekame
Soma vizuri post yangu..Maziwa, Nyama na Mbolea.Yani ngombe wa kienyeji kwa biashara ya maziwa uko na akili kweli?..
#MaendeleoHayanaChama