RAHA KAMILI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 203
- 83
[FONT="georgia" , "times new roman" , serif]
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kupitia Tasinia ya Urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers waingia Zanzibar. Wataalamu kutoka Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo kuanzia tarehe 1 February 2016 kwenye ukumbi wa Mtoni Marine Hotel Zanzibar. Wanawake 30 wa Zanzibar watanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Wanawake wakazi wa Zanzibar wanaopenda kunufaika na mradi huo wanaombwa kwenda kwa usaili na kujiandikisha siku ya Jumamosi tarehe 30 January 2016 kuanzia saa tatu asubuhi kwenye hoteli ya Mtoni Marine mjini Zanzibar.[/FONT]
[FONT="georgia" , "times new roman" , serif] http://2.bp.blogspot.com/-5Z4j3z8Zz...77_1524621934497744_3493556952565522801_n.jpg[/FONT]
[FONT="georgia" , "times new roman" , serif]Mafunzo yana lengo la kumsaidia mjasiriamali mwanamke kujikwamua. Awamu ya kwanza ni kumfundisha maswala ya biashara namna ya kuibua na kubuni miradi mbalimbali namna ya kuandika mpangilio wa biashara ikiwemo matumizi sahihi ya rasilimali muda, kutokufuja fedha, muda na pia namna ya kujitunzia akiba itokanayo na biashara yake. Awamu ya pili itahusu kuwafundisha jinsi ya kupamba harusi na matumizi sahihi ya vipodozi vya LuvTouch Manjano. Baada ya wanawake hawa kuhitimu mafunzo haya Taasisi ya Manjano Foundation inatoa mikopo bila riba kwajili ya kuwawezesha kuanzisha biashara wakiwa chini ya uangalizi maalum wa Taasisi hiyo kwa lengo la kuhakikisha kila mhitimu wa mafunzo haya anapiga hatua na kuweza kujitegemea .[/FONT]
[FONT="georgia" , "times new roman" , serif]Wasiliana nasi kwa Simu namba +255 759413234[/FONT]