Naomba kupata elimu kuhusu mirabaha mbalimbali inayofanywa kuhusu rasilimali zetu kama madini na vinginevyo.mfano mzuri ni madini tunapata 3%. Je hii ni sawa na kiasi gani cha pesa? Au ni mapato yanayopatikana? Kama ndivyo nani anayejua kiasi halisi cha mapato yanayokusanywa?nawasilisha