Mr Teacher at work

Teh teh teh....., ananikumbusha mbali huyu.... !
 
Kiboko sio tija, ongea na mwanafunzi, mweleweshe kwa mifano hai hakika atakuelewa, mwanafunzi sio punda anayekwenda bila kiboko!!! Haki Elimu!!!!

aaah hawa watoto wa kizaz kipya bila viboko haiwezekani ukimpa adhabu mbdala mwenzio ndiyo anachekelea dawa viboko safi sana mr. teacher
 
Umesema ulimaliza elimu ya msingi mwaka 1988, ulichapwa viboko?
 
Amenikumbusha mwalimu Mfumbilwa aaah! Siji msahau maishani mwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…