Asipige mayowe arudi kwa game tu msikiee.
Kipindi chake alikua anakata mauno sana ahse yani. daimond anaiga apa nakumbuka fagilia fagilia wewe apa daimond awa angalie wenzake hao nayeye atakuja uku mbeleni aje atuambia hana ngoma akati kila kishimo anazama . mifano hai ipo umu umu so wajipange wasani wetu.