me1
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 367
- 422
Hivi ni mim tu ndio mwenye bahati mbaya ya kusumbuliwa na kudanganywa na mafundi? Yani hafiki kwa wakati mliokubaliana na wengine wanakua wababaishaji.
Basi baada ya kuchoshwa na hizi porojo huku nikiwa na uhitaji mkubwa wa fundi umeme,nikaenda google na ku-search "Fundi Tanzania" bas kama kawaida google ikanletea option zao.
Nilivoona hyo ya Mr Fundi ina neno maintenance nikasema Yes hapa.
Link ilinipeleka moja kwa moja hadi kwenye ukurasa wao wa facebook na nikakuta mawasiliano nikawacheki.
TOFAUTI YAO NA WENGINE:
1.Wanakuuliza muda unaohitaji huduma na kwa muda huo huo watakuwa wamefika.
2. Wana bei za kitanzania
3. Hakuna uswahili wa ntakuja kesho
4. Wanakupa ushauri wa kitaalamu kwa kazi husika bure.
5. Wanatake risk,yaani kazi wanayofanya wao iko juu yao hadi utakapo kabidhiwa.
6. Wao ni jopo la wataalam wa Umeme,Bomba,AC&TV,Masonry n.k sio mambo ya fundi mmoja kujua fani saba haha
Toka niwajue hawa jamaa,sijawahi jutia kuwalipa pesa tunayokubaliana.
Naomba kama kuna fundi hapa aige mfano wa hawa jamaa mana nawaona mbali sana miaka kadhaa ijayo.