Mr Freeman Aikael Mbowe as i know him so Far

Tuende mbele turudi nyuma tuache dogma na ushabiki wa kisiasa. Mbowe anajua kujieleza hana jazba kama Slaa au Lema. Kwa kujieleza na kupanga hoja anachuana na Msigwa

Ingawa si vema kulinganisha watu kwani kila mtu na uwezo wake, Ukweli utabaki kuwa Mbowe and Mchungaji Msigwa ni wako vema kwa kupangilia hoja Msugwa namtabiria makubwa sana mbele ya safari.
 
Hivi Nape anajua kiingereza?

mkuu Nape lugha kwake bado ni changamoto kubwa sana, kwani alipata kureseat mtihani wa 4m4 mara 3 lakini hakupata hata C moja na badae akasoma kiujanjajanja na leo hii kazi yake ni kupiga propaganda tu weeeee.
 
Mbowe anajua kiingereza tokea tumboni mwa mamayake maana hata mkunga alomzalisha mamayake ni mzungu sio kina nyie mlozaliwa vichakani na lugha za nyani.
 

Dah Mkuu, hii lugha ulioandika nimeshindwa kuendelea kusoma.

I am very sorry, utaniwia radhi kaka.
 
Mbowe anajua kiingereza tokea tumboni mwa mamayake maana hata mkunga alomzalisha mamayake ni mzungu sio kina nyie mlozaliwa vichakani na lugha za nyani.
Weye wacha ulongo wako mbowe haijui kidhungu weye. Mbowe inaandika kizungu mbofu mbofu.
 

U-Common wa viongozi wa CCM ndio uliotufikisha hapa.wote wezi, waongo, washirikina, wauaji.
 
Hii ni sehemu ya kampeni au mbona sielewi, summarize issue kiongozi mzuri hapiganii utawala bali hupiganiwa- si unaona watu wanamtaka prof mhongo agombee, nini anafanya mbowe bungeni mfananishe na zitto au slaa utaona tofauti kubwa tu kama mbingu na ardhi. Ukipewa nafsi hata ndogo onesha kwanza unaweza, thoughts can be obtained from articles pia
 
NUMBER ONE IS EDUCATION, NUMBER TWO IS EDUCATION, NUMBER THREE IS EDUCATION AND NUMBER FOUR IS THE RULE OF LAW. Hon. Freeman Mbowe receive my Hi 5, wherever you. This is all about what we miss in Tanzania regardless of all resources we have from Mwanza to Mtwara, from Dar to Kigoma. God help us!!!
 
Lo! Jamani aliyeelewa mada anitafsirie.
 
Mkuu mleta mada umeshapata boom? Pia umepangwa chuo gani?

Wewe mtu unaejiita shardcore nakujua fika we ndo bogus number moja.
Huna hadhi yakukosoa kingereza cha mtoa mada.
Poor you!
 
waswahili bhana!,maneno hata kama ni ya kipuuz yakisemwa au kuandika kiingereza wanayoana ya maana!!!,haha! mleta thread hayo majib hata mm pia naweza kuyasema tena kwa ufasaha,so if you dnt mind next time interview me then uje na thread ambayo kimsingi itakua inafanana na hii!!,hahaah!!!siasa shobo!!
 
Wewe mtu unaejiita shardcore nakujua fika we ndo bogus number moja.
Huna hadhi yakukosoa kingereza cha mtoa mada.
Poor you!

we nawe akili zako mabonde tu, nani kaogelea kithungu hapa we zuzu?

Wabongo bhana.
 

Jamii imara na yenye afya inakuwa na watu wenye mitazamo tofauti na kila nayejinadi lazim aweze shawishi wengine kuwa anachoamini ndicho bora kwa njia sahihi bila nguvu.Ndio maana kuna school of thoughts.Ndio maana Lowasa alisema anachoamini kuhusu kilimo kwanza, ndio Maana Ukristu na Uislam una kambi tofauti za Fikra. Same kwa CDM lazima kila kiongozi awe na fikra huru,na aweze thibitisha kuwa zina usahihi hata wa kusikilizwa tuu, kabla ya kufikiriwa kupewa nafasi ya kuthibitisha kwa vitendo.

Pia mwenzangu inabidi ufahamu kuwa pamoja na kuwa na watu wengi sana wanaoamini vipaumbele tofauti bado patakuwepo na watu waliochagua vipaumbele vya kufanana ila wakatofautiana jinsi ya kutekeleza.Yaani kila mmoja akiamini kuwa ingetumia nyjia nyingine kama aaminivyo basi pangekuwa na matokeo mazuri zaidi.Hata pale watu wakitoautiana bado waliopo wana jukumu la kushiriki vipaumbele vilivyochaguliwa kadili ya miongozo iliyowekwa.Na anayehisi kuwa hawezi fanya kinyume na fikra zake binafsi basi huruhusiwa jiuzulu ili apishe wengine wasonge.Sioni shida katik tofuati ila katika majibu ya harakaharaka au kupinga kwa vifactor vidogo vidogo ambvyo havina nafasi katika matokeo ya ujumla.

Kuhusu Elimu ya Mbowe, kama hana Elimu km unavyo bwabwaja halafu yupo hivi na wewe unayejidai kwenda shule upo kama ulivyo,basi Simshauri aende shule Zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…