kiwatengu una upendeleo mbona couple yangu na nitonye hujaitangaza.. Halafu hii couple haina long live ila hongera zao b'cause TheDealer alitaka mwanamke aliyezagaazagaa am happy amempata. Me mimisa and Heaven on earth tulikuwa hatujazagaazagaa
Kweli TheDealer alihangaika sana na sasa katulia maana mtoto mzuriiii namuombea mema amtunze mtoto wa watu,tusijesikia kadondokea wengine tena maana jitihada za kumpata Toria sio mchezo. hope amepata fundisho
naomb nimuulize Toria mmepima maana jamaa sketi zilikuwa hazimpiti kabla ya kukutana nawe ,muonane na Lady doctor kwa vipimo zaiddi
Yangu na mke wangu Lady doctor mbona kama hujaonesha kuitambua kwa heshima mkuu? #Just-asking .
jamani nyie si mlimkataa? sasa hizo sketi zilikuwa zinatoka wapi?