Mpya: Android vpn for jf members (bure)

whats your point mkuu?
 
whats your point mkuu?


Point yangu ni jambo lakushangaza sana kwa site kubwa kama hii kwenda kinyume kabisa na SOPA.

As we know it's illegal na imeoneshwa kabisa kwenye Rules za JF lakini still they disobey.

Nadhani unaelewa vizuri kabisa mkuu kwanini Kwenye JF rules waliweka kwamba they're anti-piracy.

->Mtizamo Tu.
 

Okey umesomeka mkuu
 

am pretty hard to impess but WOOW!!! U read all the rules !!!!, my take "jukwa la sheria" will workout pretty smooth for you

ni mtazamo tu
 
Jamani wengine sio wataalamu wa it,inafanyaje kazi na je kama huna bando unaweza kuendelea kuaccess internet???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…