Mpya: Android vpn for jf members (bure)

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hotspot-Shield-Elite-3.1-Ad-FreeCracked for Premium servers

VPN IMECHAKACHULIWA HUHITAJI KUNUNUA KEYS ,INAPIGA KAZI FRESH NI KWAJILI YA ANDROID SMARTPHONES

-utaweza kuprotect ip adress yako ili uweze kutumia internet anonymously
-utaweza kuperuzi website ambazo zipo geographically restricted mfano hulu ya marekani
-*** sina uhakika ila hii kitu yawezekana ikawa inapiga mzigo hata bila bando

pakua/download hapa >>>> QFS.mobi - Download 1933703
 

Samahani mkuu naomba msaada...nina simu yangu aina ya blackberry 9800 kila nikifungua jf aplication inaniambia kuwa "APN setting not correct " je mkuu hali hii inasababishwa na nini..??.....maana kila nikiitoa na kuiweka tena nakuta hali ni hiyo hiyo...naomba msaada wako...mkuu..
 

hizo simu sijazitumia sana ila nahisi inabidi uconfigure access point name ya hio app iwe "internet"
 

Bravooo sana...mkuuu
 

nukifanya tethering itaendela kupiga mzigo?
 

Ahsante sana mkuu napakua vitu hapa aafi sna katika site zote
 

Tazama na picha hapa mkuu
 
Imeku bahati mbaya najaribu ku-upload inagoma, lakini yote kwa yote nakushukuru
 
nime install imekubali nainaonesha ina function sa sijajua vp inafanya kaz.
 


Hellow greeting.

Nakubaliana na JF rules kuzuia uploading of pirated software.
Lakini kueka link za pirated software kama hii thread hapa "as you call it discussion but it's alson distribution", from my point of views ni kusupport pirated softwares.

Labda kama point yao JF ni kuto kuhold pirated softwares on their server.
Lakini kama ni hivyo mbona thread nyingi zinafanya hivyo, ikiwemo hii ya kwako hapa mkuu. https://www.jamiiforums.com/jf-stor...nload-manager-idm-6-17-full.html#post11545779 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…