Kamama naye alipona kwa kura 1 sawa na Ababu,na hakuundiwa tume?hii Chap Chap, JAP &Co inalitumia bunge kama rubber stamp na kwa remote control kutoka pale Kilimani.
Huyu mzee wa chap chap Franklin Bett si alisema anapumzika siasa,sasa anjifanya anaipenda JAP ,watu wana tamaa hadi wanakosa heshima.