M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 146 Reaction score 100 Oct 4, 2021 #1 Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kupika biriani na Mande pia n avyakula vingine kwa ajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo.
Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kupika biriani na Mande pia n avyakula vingine kwa ajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,194 Reaction score 103,008 Oct 4, 2021 #2 Wapishi mnaitwa huku.
That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,227 Reaction score 3,707 Oct 4, 2021 #3 Haya chaka hili hapa elizabethh -All the best-
Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,808 Reaction score 11,483 Oct 4, 2021 #4 Mabala21 said: Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kuoika biriani na mande pia n avyakula vingine kwaajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo. Click to expand... Kuna jamaa ni noma sema yupo mkoani huko. Yule jamaa ni genius wa vitafunwa na hayo makitu. Na ni very loyal. Ungempata ungelamba dume.
Mabala21 said: Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kuoika biriani na mande pia n avyakula vingine kwaajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo. Click to expand... Kuna jamaa ni noma sema yupo mkoani huko. Yule jamaa ni genius wa vitafunwa na hayo makitu. Na ni very loyal. Ungempata ungelamba dume.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,698 Reaction score 44,053 Oct 4, 2021 #5 That Gentleman said: Haya chaka hili hapa elizabethh -All the best- Click to expand... Huyo anajua kupakua biriani tu
That Gentleman said: Haya chaka hili hapa elizabethh -All the best- Click to expand... Huyo anajua kupakua biriani tu
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 146 Reaction score 100 Oct 4, 2021 Thread starter #6 Rutagwerera Sr said: Kuna jamaa ni noma sema yupo mkoani huko. Yule jamaa ni genius wa vitafunwa na hayo makitu. Na ni very loyal. Ungempata ungelamba dume. Click to expand... Mkuu yote yanawezekana, unanamba yake au jinsi ya kumpata nizungumze nae?
Rutagwerera Sr said: Kuna jamaa ni noma sema yupo mkoani huko. Yule jamaa ni genius wa vitafunwa na hayo makitu. Na ni very loyal. Ungempata ungelamba dume. Click to expand... Mkuu yote yanawezekana, unanamba yake au jinsi ya kumpata nizungumze nae?
Imphuvyi JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 224 Reaction score 155 Oct 12, 2021 #7 Boss ushapata mpishi
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 146 Reaction score 100 Oct 12, 2021 Thread starter #8 Imphuvyi said: Boss ushapata mpishi Click to expand... Nimeshapata boss nashukuru. Wewe ni eneo lako hili?
Imphuvyi said: Boss ushapata mpishi Click to expand... Nimeshapata boss nashukuru. Wewe ni eneo lako hili?
Imphuvyi JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 224 Reaction score 155 Oct 12, 2021 #9 Mabala21 said: Nimeshapata boss nashukuru. Wewe ni eneo lako hili? Click to expand... Ndio, Tena sana
Mabala21 said: Nimeshapata boss nashukuru. Wewe ni eneo lako hili? Click to expand... Ndio, Tena sana