Jibu hoja mkuu.Umekeririshwa ibada ni lazima makalio yawe level ya juu kuzidi kichwa. Mungu ni roho na wamwabuduo yawapasa kufanya hivyo katika roho na kweli.
Hiyo general umeitoa wapi katika biblia nataka nikasomeMimi nimetoa maelezo ya kiujumla na sio ya mpiga kinanda peke yake, nimeelewa jinsi gani wanagawana majukumu ili ibada ifanyike, kwahiyo mpiga kinanda nae anatekeleza majukumu yake.
Ufunuo wa Yohane 11:15-17..., ukisoma hapo patakusaidia kuelewa kidogo hayo majukumu.Sina mpango wa kubishana husinilishe maneno mkuu,,nachotaka nitajie naamini nitakuja majukumu ya mpiga kinanda bila mficho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufunuo wa Yohane 11:15-17..., ukisoma hapo patakusaidia kuelewa kidogo hayo majukumu.
ndo maana nikasema ukisoma kitabu cha kutoka mwanzo hadi mwisho utaona Musa alivyopewa maagizo ya kuwapa majukumu waisrael
kama haujaona chochote kinachoendana na unachouliza basi sawa, nikutakie usiku mwema.