Mpenziwangu hataki tufanye romance

Habari wana jf mm nina mpnzwangu yaani yy anataka nimvamie kama nambaka vile ndivyo anavyopenda

ila kila nikianza kumshikashika na kumtomasatomasa hataki kabisa na hapendi nimfanye hvyo yy anachopenda ni kumuingizia dushelele tu
nishaurini jamani nifanyeje maana siinjoi mapenzi kabisa?

Kuna shosti yangu mmoja nae alikuwa na tatizo kama hilo, ila alinipa ukweli kwamba anashindwa kuvumilia harufu ya
kinywa cha bf wake.
Hivyo basi, hebu mchunguze gf wako polepole utapata ukweli kwanini ana tabia hiyo.
 
Labda Domo lako LINANUKIA kama choo cha jiji,viganja vya mikono vigumu kama mtindua Lami,harufu mwilini kama Beberu mzee, mwili kama mko Two in One, Jiangalie muda si mrefu hata hicho 'kifuniko cha Peni' atakipotezea!

ha ha ha Songoro.. sehemu pekee ambayo huyo mwanamke anaweza kuivumilia ugumu wake ni kwenye mpododo..
 
Last edited by a moderator:
Labda Domo lako LINANUKIA kama choo cha jiji,viganja vya mikono vigumu kama mtindua Lami,harufu mwilini kama Beberu mzee, mwili kama mko Two in One, Jiangalie muda si mrefu hata hicho 'kifuniko cha Peni' atakipotezea!

Kama ni ushauri nadhani huu ni balaa mkuu.
 
Nachoshangaa hapa ni kwamba anakuaje 'wet'?????
kwa iyo yeye full tym kalowa uko chini???
 
tena anakataa huku akifoka, kwenya mapenzi mtu akinletea jeuri yake namuachilia mbali navaa zangu nguo mbio!. nani anataka karaha ya mapenzi? mia
 
Kuna shosti yangu mmoja nae alikuwa na tatizo kama hilo, ila alinipa ukweli kwamba anashindwa kuvumilia harufu ya
kinywa cha bf wake.
Hivyo basi, hebu mchunguze gf wako polepole utapata ukweli kwanini ana tabia hiyo.

Umeliona jina lake kwanza, anaitwa Mchafukobe. lakini kama mpenzi ni mchafu kiasi hicho hata kushindwa kusafisha kinywa unaendelea naye ili iweje, muelimishe juu ya umuhimu wa usafi kama habadiliki wewe piga chini anza maisha mengine kwingine.
 
Ulishawahi kufanya romance hata mara moja tangu muanze uhusiano? kama ndio jikague vizuri inawezekana kuna kitu hakipo sawa kwako jirekebishe ujiweke sawa mfano usafi n.k..kama haijawahi kutokea kaa naye ..ongea naye mueleweshe atakuelewa.
 
We umemuuliza kasemaje? tupe jibu alilokuambia ndo tukushauri kwani haiMake sense kukataa without any reason,,,by the way Romance ndo njia ya kumuandaa ili awe Wet ile sehem then Naniliuu iingie bila msuguano.
 
kuhusu issue ya kutoa harufumbaya ktk mwli hakuna mwnye hli tatizo bainayangu mm na mwenzawangu

but thnx sana wanajf coz mmenipa new strategies
 
your name sound so weird...anyway there is possibility kuwa may b huwa hauko msafi(mdomo kunuka) etc...try to be msafi!
 
Hakupendi na huenda hafurahii kufanya mapenzi na wewe.....
itakuwa kuna kitu anahitaji tu kwako na kama si pesa sijui!!!!!!!
 
Mh, humu Jf mna mambo, yaani ni kama kijiji kimekaa rika zote halafu inaletwa mada kama hii. Kiuhalisia utaona mtu mmoja mmoja anaondoka. Mi chichemi.
 
kama ni mdada ni mzuri hasa huyo atakuwa ni mchapakazi.anasaka mahela hana muda na mapenzi ya kulambana lambana kama wazungu.na atakuwa amefanyiwa tohara.una raha kweli kweli
 
Labda Domo lako LINANUKIA kama choo cha jiji,viganja vya mikono vigumu kama mtindua Lami,harufu mwilini kama Beberu mzee, mwili kama mko Two in One, Jiangalie muda si mrefu hata hicho 'kifuniko cha Peni' atakipotezea!
Duh, Mkuu hii ni ngumu kumeza hata kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom