Duuh una bahati hujamkuta mla bata..kapigwa ban nahisi akienda kumuelezea huyo binti kiziwi wake atabakia kumkodolea mimacho tuMKUU, HUYO HUENDANI NAYE
HALAFU WATU WASIOJULIKANA WALISEMA
SIMBA MWENDAPOLE NDYE MLA NYAMA.
MADEMU WAPOLE WAMALAYA
He wasn't my boy friend buana.
Was on process,if ningesema yes then ninge count in as a boy friend.una bullet proof??
Mkuu kujamba ni popote pale,haimaanishi ukiwa na mpnz wako usijambe na hivi muwe pamoja ndani ya miaka miwili isitokee hata siku moja kashikwa na kijambo kweli??
Wanataka kumiendesha kwa remoteTukiwapigia kelele mnakimbia nyumbani, tukikaa kimya pia taabu!! Hivi nyie viumbe mnataka nini lakini!!!!!
Ni msg kutoka tigo kuwa kunatakiwa huduma ya dharula
Asalaaalee. Kwa nini sasa na wewe ajambe kwa makusudi mbele yake?
Mkuu nitakupinga kidogo kuhusu hili..hasa kwenye mahusiano ya wawili kunatakiwa kuwe na hali ya uhuru baina yenu...mbona mambo madogo hayo then kujamba ni afya
Sio kila unaposhikwa na kijambo ujambe mkuu. Unaweza jamba offisini kisa una umejiskia kujamba? Mpenzi wako pia anahitaji kuheshimika.
Tukiwapigia kelele mnakimbia nyumbani, tukikaa kimya pia taabu!! Hivi nyie viumbe mnataka nini lakini!!!!!
Mkuu nitakupinga kidogo kuhusu hili..hasa kwenye mahusiano ya wawili kunatakiwa kuwe na hali ya uhuru baina yenu...mbona mambo madogo hayo then kujamba ni afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo mkuu..I mean kwa bahati mbaya ikiwa ndo mpaka niwe au awe hana budi ila kuuachia tu..kusudi yoyote utaijua tu by any other action will show she is'nt respecting na sio kwenye kujamba tu
Oukey na ni kweli unachokisema, but personally i can't do it intentionally, maybe sijawahi kujiskia huru kiasi hicho, kwangu itokee tu kwa bht mbaya but kwake ajiachie awezavyo.
Ndo hivyo mkuu..I mean kwa bahati mbaya ikiwa ndo mpaka niwe au awe hana budi ila kuuachia tu..kusudi yoyote utaijua tu by any other action will show she is'nt respecting na sio kwenye kujamba tu
Oukey na ni kweli unachokisema, but personally i can't do it intentionally, maybe sijawahi kujiskia huru kiasi hicho, kwangu itokee tu kwa bht mbaya but kwake ajiachie awezavyo.
Yaan hapo nngepata mm ndo nngefrahi sana nahtaji mtu wa namna hyo naomba namba yake mkuu niongee nae labda atabadlikaHabari wanajamvi , kama kichwa cha uzi wangu kinavyosema , mimi ni kijana mvulana ambae nipo kwenye mahusiano na msichana wangu takribani miaka miwili sasa, kiukweli huyu msichana she is beautifull and very nice to me na ni mwaminifu kwangu lakini, kiukweli nampenda na ananipenda sana.
Shida ni moja toka naanza mahusiano nae mpenzi wangu huyu anatabia ya upole iliyopitiliza tofauti na mimi mwenyewe , mimi ni mtu mmoja mzungumzaji sana na ninayependa talks, na nikitu ambacho hata yeye anaenjoy kwangu coz namfanya kila mda anafurahi , mwanzo nilijitahidi kumchangamsha ili niende nae sawa lakini ilikuwa ngumu kubadilika.
Kiukweli naboreka sana na huu uhusiano though nampenda, my gf sio mtu ambae anaweza kuona nipo offmood kisha akanifanya nifurahi , she is not friendly yani kiukweli anabore ukiacha maswala ya mahusiano hakuna mambo mengine ya kijamii anaweza akazungumza nikafurahi, tukiwa wawili mi ndo the only person ambae nazungumza yeye ni mpenzi mtazamaji, unaweza ukakuta njia nzima nazungumza mimi au tukiwa chumbani usishangae kashika tama ananiangalia huku anatabasamu tu.
Sasa naamini kwenye mahusiano ili mpate kudumu ni lazima muwe na urafiki (watu ambao mna kitu zaidi ya mapenzi) sasa huyu mwenzangu ni msomi lakini anaonekana amekosa communication skills n social interaction na kiukweli nishazungumza nae sana ili nimbadilishe lakini jibu lake ni moja kuwa hivo ndivo alivyozaliwa na malezi ya utotoni ndio yamemfanya awe hivo plus na shughuli zake anazofanya zinamfanya akose social interaction
Sasa kiukweli mimi ndugu zangu nahisi kuchoka na hii hali coz imefikia kipindi nakuwa bored sana yani sometimes hata akipiga simu najisikia uvivu kupokea yani kama somo nimeshaelekeza lakini mwenzangu ndo imeshindikana kubadilika , imefikia kipindi natumia mda wangu mwingi na washkaji zangu na rafiki zangu wengine wakike na naenjoy zaidi kuliko nikikaa na mpenzi wangu , naombeni ushauri wenu wakuu kipi cha kufanya hapa ili nijenge kuliko kubomoa coz napata wazo la kumuacha ila nashindwa coz kiukweli nampenda and she is so loyal to me sema ndo vile no enjoyment kabisa kwenye uhusiano.
View attachment 585321
Yeah mkuu fursa hiyohahaha mkuu nilikuwa nina jibu kama lako,nimekosa cha kuandika. Hahaha ama kweli penye miti hapana wajenzi
Wajasi utawajua tu hahahaYeah mkuu fursa hiyo
Sent from my iDevice using Tapatalk