Habari zenu ndugu zangu .
Mimi nina mchumba wangu ambaye tunapendana sana lakini tunapishana kwa kitu kidogo sana yeye yuko mbali na mimi yeye yuko Dar es salaam mimi nipo Mtwara kwa hiyo huwa tunawasiliana mara kwa mara kwa kutumia simu siku tunaweza kuongea kama mara tatu sio siri nampenda sana mpenzi wangu lakini anawivu sana.
Sasa jana kama mida ya saa nne usiku nimepigiwa simu na boss wangu kutoka Dar es salaam kunitaarifu kwamba nikafanye installation ya internet kwenye hotel moja hapa Mtwara tuliongea kwa kirefu kidogo.
Baada ya hapo nikampigia simu mpenzi wangu kwa muda mrefu lakini hakutaka hata kupokea simu yangu na mpaka leo hii nimempigia hataki kupokea kabisa.
Sasa sijui nifanyeje wadau nampenda sana mpenzi wangu lakini tatizo ndio hilo tu linalo msumbua infact bado hatujaoana lakini tumeshapanga malengo mpaka mwaka fulani ndo tuoane.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.