youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Kwa hiyo unataka tukusaidie kumtafuta ??
Ur name says it all.
dah! haya ndo yanatokea kila siku.
He he he.......pole sana.......
Naelekea Bunda kutatua matatizo ya walimu .......nikirudi nitakwambia cha kufanya.........
Huyo mkeo mlikutana barabarani au mnafahamiana hadi kwa wazazi wenu? Na hivyo Vitu kavibeba kuvipeleka kwao au wapi? kama ndugu zake wamempokea na hivyo Vitu itakuwa maajabu. Anza kumtafuta kwa ndugu zake kwanza. Ila kama mlikutana kimjini mjini then pole, Anza tu upya
ha ha ha ha h, muda wangu mwingi nilikuwa kwenye Jf jukwaa la kisiasa, ni juzi tu nimechungulia kwenye hili jukwaa. Kinachonifurahisha kwenye hili jukwa ni vituko vya mitaani live. Hapa ni futuhi kwenda mbele.
young sharo milionea
unamjua mke au unamsikia tuuu?????
Peleka jukwaa la bongo movie. Tehe
Shkuru Mungu hajakuwekea sumu tu, mpenzi utapata mengine na vitu untanunua vyengine.HABARI ZENU WANAJUKWAA,
Labda nianze kwa kusema haya sasa ni (MAPENZI WIZI), mnamo juzi kati siku ya jumapili tuligombana na mke wangu lakini ulikuwa ni ugomvi wa kawaida tu, kama mnavojua katika mapenzi lazima iwepo mitafaruku ya hapa na pale, tukanuniana siku nzima lakin kufikia jumatatu kila mtu akawa kama ameshapotezea hivi.
Jana kaniandalia chai vizuri, nikanywa nikaondoka zangu kazini, cha ajabu jioni narudi kazini nakuta hakuna mtu wala hakuna kitu cha aina yoyote mule ndani kwa maana nyingine (ametoroka) kabeba kila kitu kilicho chake na kisicho chake, na hapa nilipo nilienda kulala kwa rafiki yangu sijaenda kazini na sielewi nifanye nini.
usipanic wemsubirie tu nyumbani labda kavipelekwa kwa fundi kuvitengeneza.yani wewe umeibiwa alafu unamuita mkeo siku hizi hakuwa wake ni majambazi