[QUOTE=mchichaa; Na mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na kumpatia vitu vidgo vidgo pale apatapo shida,,, So nimekua nae kwenye Mahusiano ndani ya miaka 6 sasa ila tatizo lake mi na yy tunashindwana hataki ni sexy na yy kwa madai kwamba sie wanaume ni waongoo kwamba akinipatia nachokiitaji Mimi nitakuja kumuacha yy kwa kumsalitii......Ilinibidii Nimbembelezee Sana ili anielewee ila ilishindikana mbka ikanibidi nimpotezee bila kuwa na connection nae yeyote ndani ya 4 months, kwa sasa yeye uvumulivu kwake umemshindaa anani text kwa kunisalimiaa nk, So Naombenii ushauri wadau niachane nae au niendelee nae???????