wana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?

Mpwa mwaka na zaidi si mchezo kukaa bila hiko chakula,kwani nilikubali lakini sasa naona inanishinda,mana kinachofuata ni kumsaliti,ndio mana sielewi nifanyeje hapaduh, swali gumu!.
ngoja nikafikirie kwa umakini zaidi, kesho asubuhi dataz ntakumwagia.
ila kwa sasa kama kweli unampenda wewe vumilia tu.
kuna watu wanafukuzia demu kwa miaka 2, sembuse wewe na tunda umeshakula?.
mpwa mvumilie tu, kama kweli unampenda basi "SUBIRA YAVUTA KHERI!"
Mpwa mwaka na zidi si mchezo kukaa bila hiko chakula,kwani nilikubali lakini sasa naona inanishinda,mana kinachofuata ni kumsaliti,ndio mana sielewi nifanyeje hapa
ma care nampa kama kawa ila tatizo kwenye kumega ndio kanigomea sasa,na mimi namhitaji sana,sina pengine pa kumega kupoteza mudaKakak huyo wako wala usiwe na haraka namna hiyo utammega mpaka uchoke vumilia baba, hawa wenzetu wanapenda sana kuonyweshwa kwamba unawajali na ku care so vumilia baba
hilo kumbe umeliona mkuu akishajua nawe unampenda bassi ndio anafanya hivyo,anajifanya ana msimamo kwangu kumbe anamegwa nje,ndicho hasa ninachoogopa anaweza akawa anamegwa na wengine[/COLOR]
yeye mbona ataweza kukaa muda wote...jaribu kuwa mvumilivu...fikiria upande wa pili wa shilingi,naye akifikiria kukusaliti itatokea nini?
maana pia mademu wengine wanajifanya wana adabu na hawapendi dhambi kumbe wanamegwa pembeni,kwako anakwambia mpaka ndoa.
kufunga nae sasa sio rahisi kwani hatujajiandaa lolote na mimi ndio natafuta kazi sasa kwa hiyo sina kitu
ma care nampa kama kawa ila tatizo kwenye kumega ndio kanigomea sasa,na mimi namhitaji sana,sina pengine pa kumega kupoteza muda
oa. ufanyeje ufanyeje, we mpwa inaelekea unataka kudonoa donoa afu uje umwachie nani makombo???
Hii ni dhambi vumilia wewesio kudonoa donoa bht, ni kweli namhitaji, kwani akindelea kunipa vibaya as long as anajua kuwa nampenda na namhitaji pia,kwa na nilishamega kwa nn asiendelee kunipa tu tufurahie mpaka tutakapofunga ndoa?
Kiongozi Kunambi kumbuka kuwa wapenzi sio lazima saana kwenda kitandani,kwenda kitandani ni sehemu ndogo saaana katika issue nzima ya mapenzi,kama mwenzako anaona kwenda kitandani ni dhambi mvumilie mpaka utapojihalalishia,kua mvumilivu kiongozi,na mambo mazuri hayataki haraka kiivyo!!![/B]
Ndugu yangu Kunambi, umepata msichana/binti mzuri ambaye anatambua kuwa hahitaji kuwa na mahusiano ya kimwili na mvulana mpaka afunge ndoa.
Ni bahati mbaya kwamba umemshawishi mpaka akalazimika kufanya kitu ambacho moyo wake haukuwa unapenda. Hili inawezekana likawa dosari katika ndoa yenu kwani mkishaoana inawezekana akakumbuka na akakosa kukuamini. Kwa maana ya kuwa kama ulimmega kabla hujamuoa inawezekana ukamega hata wengine.
Ni bahati mbaya kwa dada zetu kwamba wakati mwingine wakipenda sana wanajikuta wanakubali anachohitaji mpenzi wake kwa kuhofia kumkosea au kumkosa kwani anakuwa hana uhakika wa kumpata mwingine.
Nakushauri vumilia, na shida ni kwa sababu umeshaanza kumega. Hata tuliooa/kuolewa ndiyo maana tunda linakuwa tamu kila iitwapo leo na unatamani usilikose. Kinachotakiwa vulimilia na fanya mipango ya kufunga ndoa; tunda litakuwa halali yako kila siku (kama utaweza).