Pole bhana. Kama vipi mpotezee.Wana bodi,
Mimi ni kijana 30yrs o'levels 2008, leo hii nimmachinga, nilibahatika pata mchumba 2014, yeye ana degree ya uhasibu. Mahusiano yetu yamedumu kuanzia 2014 hadi 2016February, maana yeye kwa sasa nimuajiliwa serikalini, tumegombana na sababu yenyewe yeye sikumpata kwenye simu siku moja baada ya yeye kwenda course Dar.
Mwanzoni tulikuwa tunawasilana vizuri tu baada ya mwezi mmoja, mwenzagu latiba zikawa nyingi mara atoke aende sinza usiku SAA6 kutafuta chakula, kwasababu tulikuwa tunawasilana mimi sikuwa na shida na hilo, Siku moja kuanzia saa4 hadi saa 3asubuhi kesho yake simu ndio zinapatikana, kwasababu mimi sijazoea ile hali nilchanganyikia nilimtukana sana maana nilihisi ameshaanza cheeting, sababu alizotoa ni kwamba simu zote mbili hazikuwa na chaji, hapohapo usiku niliangakia last seen yake inaonesha alikuwa online saa8:43usiku mimi nilishindwa kuelewa, nikamtaka asinitafute hadi anipe sababu za kuridhisha, kwasababu hiyo course inachukua miezi4 tumekaa miezi 2 bila mawasiliano mwishoni nnatumiwa sms kuwa amechoka kusubiri hasila zangu ziishe ndipo alipo nitaka kila mutu afanye maisha yake.
Nikakaa kmya! Mwishoni sasa hapa kwasababu nimeona soln hakuna mimi nilimtafuta ili yaishe, lakini alichoniambia hataki kuwa na mimi na kwa sasa yupo kwenye uhusiano mwingine hataki kusikia kuhusu mimi. Nimemuomba anisamehe hataki. Ninalia sana maana nilishamzoea sana na ninamtoto nae mmoja ana miezi 5, wakati yupo kozi alimuachisha ziwa ili awe ana muda mzuri wa kusoma akampeleka kwasababu yake huko Dar. Nipo hapa kuomba maoni yenu maana mimi hadi sasa sijui cha kufanya, umefanya hivyo kwasababu sijamtafuta 2months yeye amaamua kufanya maisha mengine.
Pole sana amekutana na wanaume wa Dar..Wana bodi,

Ha ha ha nicheke kama mazuriHataki kwa sababu nilikaa kmya kwa miezi 2 bila kumtafuta, ww akawa amekata shauri la kuachana na ametafuta huko huko mwanaume mwingine bila kutafuta soln ya tatizo.
Na kwenye thread amesema ni kijana wa miaka 30 na IV alimaliza 2008...Wacha niangalie profile yangu isije ikawa inasoma tar na mwaka..siyo ukuda bana...
Hiyo birthday ndiyo imenichanganya tu.
Mengine yote sawa.
Ha ha ha sijui kaonaje. Mimi hata lugha tu aliyotumia sijaelewa kabisaHeheeeeee watu kama FBI
Lakini wewe si ndo ulileta ubabe kwanza? aliona umemwaga ugali akajisemea isiwe shida akamwaga mboga.Wana bodi,
Mimi ni kijana 30yrs o'levels 2008, leo hii nimmachinga, nilibahatika pata mchumba 2014, yeye ana degree ya uhasibu. Mahusiano yetu yamedumu kuanzia 2014 hadi 2016February, maana yeye kwa sasa nimuajiliwa serikalini, tumegombana na sababu yenyewe yeye sikumpata kwenye simu siku moja baada ya yeye kwenda course Dar.
Mwanzoni tulikuwa tunawasilana vizuri tu baada ya mwezi mmoja, mwenzagu latiba zikawa nyingi mara atoke aende sinza usiku SAA6 kutafuta chakula, kwasababu tulikuwa tunawasilana mimi sikuwa na shida na hilo, Siku moja kuanzia saa4 hadi saa 3asubuhi kesho yake simu ndio zinapatikana, kwasababu mimi sijazoea ile hali nilchanganyikia nilimtukana sana maana nilihisi ameshaanza cheeting, sababu alizotoa ni kwamba simu zote mbili hazikuwa na chaji, hapohapo usiku niliangakia last seen yake inaonesha alikuwa online saa8:43usiku mimi nilishindwa kuelewa, nikamtaka asinitafute hadi anipe sababu za kuridhisha, kwasababu hiyo course inachukua miezi4 tumekaa miezi 2 bila mawasiliano mwishoni nnatumiwa sms kuwa amechoka kusubiri hasila zangu ziishe ndipo alipo nitaka kila mutu afanye maisha yake.
Nikakaa kmya! Mwishoni sasa hapa kwasababu nimeona soln hakuna mimi nilimtafuta ili yaishe, lakini alichoniambia hataki kuwa na mimi na kwa sasa yupo kwenye uhusiano mwingine hataki kusikia kuhusu mimi. Nimemuomba anisamehe hataki. Ninalia sana maana nilishamzoea sana na ninamtoto nae mmoja ana miezi 5, wakati yupo kozi alimuachisha ziwa ili awe ana muda mzuri wa kusoma akampeleka kwasababu yake huko Dar. Nipo hapa kuomba maoni yenu maana mimi hadi sasa sijui cha kufanya, umefanya hivyo kwasababu sijamtafuta 2months yeye amaamua kufanya maisha mengine.
Nimekuelewa mkuu1. TANGU MWANZO ALIKUWA ANA KU CHEAT KWA MKUWA WEWE NI OPTION KWAKE
2. ALIUWA ONLINE NDIO EITHER ANAKULA BATA AU NA MWANAUMEMWINGINE
3. HASIRA ZAKO NA KUMTUKANA NI KAMA KUMPA URAHISI NA SABABU YA UKUFANYIA HAYO KWAMBA ANASUBIRI HASIRA NK.
4. MATOKEO NI KUVUNA KILICHOPANDWA WE JUA HUNA CHAKO
5. DEGREE YAKE PIA INAWEZA IKAWAINAMPA UJASIRI WA KUONAHUMFAI
6. POLE SANA TAFUTA MUELEKEO MWINGINE AU FIGHT FOR IT
7. USIPENDE SAAAAANA MPAKAUKAWA UNAZINGUA SASA LEAMTOTO TUNZA MATUMIZI TUMATAFUTA JIKO JIPYA TARATIBU