unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Mwenzio kakuomba umkopeshe it means atakurudishia sasa ww unaanza kulialia na angekwambia naomba unisaidie ungemsaidia kweli? Hebu mkopeshe mwenzio huko wacha kulialiamambo vipi wakuu..
kama headinf inaavtojieleza je nikifanya hivo ntakua nakosea na je anaweza kunirudishia kweli au ndo changa la macho afu aingie mitini?
mambo vipi wakuu..

The Boss mapenzi ya kweli kwa mtu husika yanatolewa bure,yale yanayouzwa sio mapenzi ya mtu husika ni mapenzi ya pesa.Mapenzi hayauzwi na hayatolewi bure......kazi kwako