Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Kiutu uzima ndio kivipi?Bado sijakupataXaxa xi mmalixane kiutu uxima!
Kwani mimba xi ni yake?
Nimegundua hao wote wawili ni watoto na probably hawajafahamu bado ni kitu gani wanakitaka. Anyway labda wakikua wataachaXaxa xi mmalixane kiutu uxima!
Xaxa xi mmalixane kiutu uxima!
Yaani hawaminiani wenyewe Kwa wenyeweShida inaanzia hapo "utaitunza"
Unataka kumfanya mwenzio incubator sio??
Nimegundua hao wote wawili ni watoto na probably hawajafahamu bado ni kitu gani wanakitaka. Anyway labda wakikua wataacha
umeona muende sambamba na xx zake sioππ