Wewe ni lesbian sio?
Atakua anakunywa maji mengi na chips mayai....mshauri aache kunywa maji mengi..Kudos hi there!!!
Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.
The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.
Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!
Dawa ya moto ni moto. Akikubadilikia na wewe mbadilikie.Kudos hi there!!!
Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.
The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.
Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!
Tafuta mwingine..Kudos hi there!!!

Between the line anaonyesha ana hilo tatizo.Nimshauri tu bado mda anao wa kujitafakari,,ni ipi njia sahihi zaidi.Mkuu Loeb S Mpalasinge umeniwahi. Mimi mwenyewe kutokana na aina ya threads na arguments zake humu JF nilijenga picha kuwa 47pro ni KE. Ila hapa muandiko unaashiria ni ME au Lesbian. Ngoja tusubirie ufafanuzi wake