Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.
Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.
Mbona hiyo ni tabia tu na inaweza kurekebishika?
Anyway kila la kheri!!
Ila Tambua
1. Mzungu atakuona masikini na unamtafuta ili akusaidie.
2. Mhindi mama ndio mwenye usemi wa mwisho!! mbantu utaweza???
3. Mwarabu inategemea na itikadi ya familia yake na kaka zake wanavyokuchukulia ila mara nyingi hawapendi kuolewa nje ya circle yao.
Kila la kheri
Habari wana JF-MMU Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.