Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari ani PM.
Ndio maana huu uzi nimeandika kwa kiswahili kwani naamin kuna wazungu, wahind, wachina na waarabu wanaelewa vizuri lugha ya kiswahili ninachojali mie ni rangi zao sio utaifa wao.