Wamtafuta hewani kwani huyo mpenzi wako ni ndege?Mpenzi wangu nakutafuta sana hupatikani hewani
nakumbuka mara ya mwisho tulikuwa wote beach
Jf wana kazi
Mpenzi wangu nakutafuta sana hupatikani hewani ni miezi mitatu sasa,sijui nini kimekukuta,Nakuomba popote ulipo tafadhali nitafute kwani nazidi kukonda kwa mawazo,nakumbuka mara ya mwisho tulikuwa wote beach