Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

huyo anaonekana ni member wa kona baaa saana tu,namaanisha huwa nawanunua hata watano at once hahaha akili kichwani mwako
 

Nikudokeze kitu??,Huyo dem ni MSAGAJI na kama sio basi ana dalili hizo na pia anapenda sana kuangalia filam za ngono.,

Nimesoma saikologia sana kwa swala hili ni dhahili dem wako ni msagaji ama anatamani kuwa msagaji ndoma anataka kufanya sex na wwe na mwenzake
 
Akili ku mu kichwa kama sio pombe basi hiyo balaa kinoma, kama ni malaya unaye, ila mpenzi/mchumba huna ndg, think twice.
 

wenzako tunabembelezea threesome karne sasa tunatolewa nje ,wewe bahati inajileta unavunga.
kweli wahenga walinena penye miti hapana wajenzi
 
threesome/group sex is the best.
Try it you will never forget do it with passion,
you will be in heaven fos sure

Kwa wewe sishangai ila angekua mwingine huku ningefaint:faint:faint
 

thank hapo nakuelewa vizuri kunakila dalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…