Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for awhike now, ila nagombana nae kitu kimoja tuu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua, kiufupi, mm sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno. Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nn? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nn?
Thanking you in Advance.
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!

Ulipomuona na kumpenda na kuamua kumtongoza mpaka mkakubaliana kuanza mahusinao alikuwa anazivaa au ameanza kuzivaa baada ya kuwa mmeshaanza mahusiano?
tatizo wewe unataka kumchimbachimba utakufa kwa pressure, maliza chuo kwanza,,,,,, usidandie vya watu......
Mlikubaliana asije kwenu, lakini alikuja. Yaonyesha hauna msimamamo.