si ushaambiwa subiri unataka nini tena.
Labda ana umwa kwahiyo niushauri wa daktari hubujaribu kukaa nae umuulize lakini hiyo kitu si chakula usilazimishe
Sikitiko la Mahaba
Naombeni Ushauri. Ninampenzi Nampenda Ananipenda Ila Kaninyima Penzi Anadai Mpaka Baada Ya Miaka Miwili. Nifanyeje?