Norbert Kapinga
Member
- Aug 28, 2015
- 37
- 12
jaman jamaa ang ameniomba ushaur mpenz hajickii kukaa siku 1 bila kugombana, nimpe ushauri gan

dawa ya moto ni moto... he he he kama vipi waachaneEeh!
Hapatakalika tena hapo.
Mkuu bila shaka huyo jamaa ako atakuwa hamtinginyui vzr shemejii