Yote ya nini??relax kwanza mpe muda hasira zipungue huku unajipanga then tumia uongo huu hapa
1: kwanza mwambie simu umenunua kwa mtu so hizo chat zilikuja na simu na wala hujapata muda wa kureset simu.
2: mwambie simu yako kuna rafiki yako unaishi nae/ umepanga nae anaitumia mara kadhaa so ndo aliechat na huyo girl (hapa mpange mshkaji wako akaongee nae)
3: mwambie hizo text ni za jamaa ako (mwanaume) alikuwa anakufowardia majibu ya girl wake wa siku nyingi.....this is recomended sana.
Tumia namba 3 then jua kucheza vzuri na namba alitaka umoe ya jamaa ako inayofanana na huyo girl
4: andika text kali sana ya kumsifia huyo mpenzi wako ambayo unakuwa Kama unajutia kosa hivi na iwe kama unamuandikia Rafiki ako wa kiume mwingine yani unamsimulia tukio lilivyokuwa then humo ndani ya text unasema najutia nakosa yangu coz nampenda mpenzi wangu na ninamalengo nae mengi nitaishije bila yeye etc alafu unamtaja hata jina rafk ako wa kiume then huyo text unatuna makusudi kwa girl kwangu kujifanya umekosea then thank me later...
Sent using Jamii Forums mobile app
WhyUsiku mwema kiongozi
My life is mine to remember
sawaYote ya nini??
Umekosa kama unampenda sana mwombe msamaha nakama hakubali.
Basi sio nyota yako..
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni za zamani hakuna ugumu hapo, mweleweshe tuu, kwani yeye ulimkuta bikra?Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe relax kwa sasa endelea na mambo mengine kwa kuwa unasema anakupenda atarudi tuu na hatotaka kuzungumzia kilichotokea, ila kuendelea kumsumbua haitasaidiatatizo sio k500 mkuu hata kwao pesa sio shida kwaiyo kwake anaziona kawaida na anawivu mkali sana kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ufanye kwa ajili yako yote halafu uje kulialia mi nashangaa sana, hakujua kama inaweza tokea akafumaniwa? Hakujiandaa kwa matokeo ambayo yanaweza tokea?
Niko poa kabisaa, napambana na corona tu huku kwa makonda ila soon naileta huko ulipo😁Kitu ufanye kwa ajili yako yote halafu uje kulialia mi nashangaa sana, hakujua kama inaweza tokea akafumaniwa? Hakujiandaa kwa matokeo ambayo yanaweza tokea?
.
.
Babe' hujambo lakini?
yote kwaajili ya kuokoa upendo ujue baada ya usaliti vitu havitakuwa sawa kama zamani so ni bora useme au ufanye hivyo kuliko kukubali kosa hadharani ila chamsingi ni kuavoid kuchepuka tu kama umependaYote ya nini??
Umekosa kama unampenda sana mwombe msamaha nakama hakubali.
Basi sio nyota yako..
Duh!! Sasa kama ushafanya maamuzi hapa unhitaji nini tena!??